Alhamisi, 2 Aprili 2026

SIMULIA HADISI YAKO - MAISHA YAKO MBELE YA KUKUTANA NA KRISTO

 












Jambo ! Karibu kwenye ''ongezeka'', ni podikasti inayoleta neno la kutiya moyo wachungaji, wapandaji wa makanisa na viongozi wa Kikristo.

Mimi ni muhamasishaji wenu Daneille Snowden.

Katika mpango wa mafunzo ya wapandaji wa makanisa ndani ya vijiji vipya, tunafunzwa kutumikisha kibweta cha vyombo vya mpandaji, ambayo inaitwa pia " chombo 4-1-1". Kibweta hiki cha vyombo kinapendekeza swali ine kwenye karatasi moja.

Swali la kwanza ni : "sababu gani ?"

Kwakulijibu, tunagunduwa utambulisho wetu katika Kristo, huku tukifahamu kuwa tuko hai ndani yake, Zaidi ya hayo, utambulisho huo katika Kristo, tunagunduwa pia tuko mawakili, sababu kwa kugawanya upendo wake, tunageuzwa kuchukuwa sura yake (2Wakorintho 5:17-21)

Leo, tunachukuwa swali lingine, ambalo limeulizwa mbali kidogo katika kibweta cha vyombo vya mpandaji : "Nitasema nini ?" Inahusu kugawanya ushuhuda wa sekonde 15 (hadisi yetu) kwa yale aliyoyafanya Yesu kwa ajili yetu.

Wengi miongoni mwetu tunajuwa kama tunaanza mara kwa mara kwa kusema :"ilifikia kwa wakati mwengine ndani ya maisha yangu ... " Tunasimusilia hadisi kutokana na Roho Mtakatifu, hadisi yetu binafsi, hadisi ambayo msomaji  anahisi kushikamana nayo. Ni hadisi ya maisha yetu mbele ya kukutana na Kristo kuwa Bwana na Mwokozi.

Unakumbuka kipindi kile ambacho maisha yako uliyaona kuwa bure, wakati ulijisikia ukiwa bure moyoni mwako ? Gawanya hiyo hadisi !

Ninakumbuka kipindi cha mwanzo wakati nikitangaza injili, nilikuwa nikiingia nyumba kwa nyumba ili kutangaza injili, ao nilikuwa nikiongea na watu barabarani. Nilikuwa na woga sana ! Ijapokuwa, wakati moja kuna mtu ambaye niliongea naye alifikia kuniambia matatizo zake, Roho Mtakatifu alifunguwa roho na moyo wangu ili niweze kugawa TUMAINI iliyotokana na ushuhuda wangu binafsi ! Hadisi yangu ilitokea rohoni, roho iliyobadiiishwa na kuwekwa huru na Yesu-Kristo. Na wakati nilipokuwa nikisimulia hadisi yangu, Neno la Mungu liliinua utaji ili watu hawa waweze kuona hata kujihisi upendo na nguvu za Mungu kwao binafsi.

Simulia hadisi, sema juu ya maisha yako mbele ya kukutana na Kristo ! Inashauriwa kuchukuwa hadisi fupi za sekunde 15 kwenye karatasi.

Uwe tayari ! Maandiki yanatuambia :

"Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu." 

(1Petro 3:15)

Ilikuwa ''ongezeka''. Usishite kugawanya podikasti hii.

Tukutane kwenye Facebook, Youtube na kwenye mtandao wetu vcpencouragement.org.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

MIVIRINGO TATU AJILI YA KUWAFANYA WANAFUNZI

  Jambo kwa wote, naitwa Dean Davis, na tazama ''ongezeka'', ni podikasti inayoleta neno la kutiya moyo kwa wapandaji wa mak...